Ni tukio lililotokea usiku wa jana (jumaapili) huko Nyumbani Park
mkoani Morogoro, maarufu kama Samaki Samaki... mwanadada aliyedaiwa kuwa
ni miongoni mwa wale wadada wanaofanya biashara ya kuuza mwili,
ambapo hatukuweza kumtambua jina lake...alijikuta akizalilishwa na
njemba baada ya kukwapua simu ya njemba huyo na kuificha kwa nia ya
kuiiba.
Dada huyo aliye na sifa zote za mwanamke mwenye heshima zake...lakini huwezi kuamini kama ana tabia za ajabu...kitendo hicho kimewafurahisha watu wengi sana waliokuwepo eneo la tukio kwa kuwa ni fundisho kwa warembo wengine wenye tabia kama za dadashosti huyo.

0 comments:
Post a Comment