Facebook

Tuesday 29 April 2014

Picha: Tizama picha za cover ya album mpya ya 50 Cent na list ya nyimbo zitakazokuwemo .............

 
Baada ya kutangaza kuondoka Shady Records, Aftermath Entertainment na Interscop tarehe 20 February, pamoja na kutangaza ujio wa album yake mpya Animal ambition June 3, leo hii ametoa picha ya cover ya album hiyo pamoja na list ya ngoma zitakazokuwemo.

Animal Ambition ni album y akwanza ya 50 tangu kuondoka
 
 katika studio hizo na kutarajiwa kutoka kupitia makubaliano
 
 mapya ya Caroline/Capitol/UMG. Caroline hivi karibuni
 
 wamesimamaia usambazaji wa album ya Korn na  E-40.


50 Cent made headlines today (February 20) when he confirmed his departure from Shady Records, Aftermath Entertainment and Interscope Records. Along with this news, 50 Cent has announced the June 3 release date for Animal Ambition. 
The album is scheduled to be available for pre-orders March 18, according to MTV. Fans are set to receive two songs with a pre-order purchase. 
Animal Ambition is the first album 50 Cent is scheduled to release through a new agreement with Caroline/Capitol/UMG. Caroline has recently distributed albums by Korn and E-40, according to Associated Press.

0 comments:

Post a Comment