Anaitwa Mary Elene Boschi...
Ni Waziri wa Marekebisho ya Katiba na Uhusiano wa Bunge wa nchini
Italia. Picha yake imesambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na
kunukuliwa tofauti...picha hiyo iliyoeditiwa na kusambazwa kwenye
mitandao ya kijamii imezua gumzo.
Ukweli ni kwamba, picha hiyo sio picha halisi imefanyiwa editing na kusambazwa kwenye mitandao.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua vioja na vituko mbalimbali
vinavyofanyika duniani
0 comments:
Post a Comment