Facebook

Sunday 27 April 2014

Kanisa katoliki kutangaza watakatifu leo huko Vatican.....


vatican 

Kanisa katoliki leo linategemea kuwatangaza watakatifu ambao huandikwa katika kitabu cha maisha ya watakatifu,Papa John Paul II na John XXIII wanatarajiwa kutangazwa watakatifu katika tukio litakaloongozwa na kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis huko St Peter’s Square  jijini Vatican.
Watu milioni moja wanatarajiwa kuhudhuria tukio hili la kihistoria.

0 comments:

Post a Comment