Facebook

Monday 28 April 2014

Diamond amshushua shabiki huko twitter.....


Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, makubwa yamkuta follower mmoja wa msanii marufu hapa Tzee Dangote aka Diamond Platnumz, baada ya Diamond kupost picha yake nzuri tu, huku aki-show off tattoo zake, basi ishu ilikuwa ni pale follower huyo alipo muambia Dangote,
 “sawa umependeza blo,ila sisi watz hatuchoragi hzo v2″, na Dangote Bila kuchelewesha akamshukia na kumjibu “wamakonde vipi?”,
 Hata ukiwa wewe umeandikiwa hivyo hutakuwa na cha kuongezea hapo cause hizo ni tamaduni za watu, tuache wafanye yao

Endelea kutemebelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali kwa wakati muafaka bila zengwe

0 comments:

Post a Comment