Kanye West na mchumba wake Kim Kardashian wametangaza siku
yao ya kufunga ndoa baada ya kuvishana pete mwezi Oktoba. Wapenzi hao
wenye mtoto wa miezi 8, "North" wameweka wazi kuwa wanatarajia kufunga
ndoa mwezi May tarehe 24 huko Paris, nchini Ufaransa kwamujibu wa mtandao wa Us Weekly.
Kanye West
na Bibie Kim wamesema wameamua kufanya party ya ndoa yao huko Paris,
Ufaransa kwa kuwa ndio sehemu ya makazi yao kwa sasa mbali na makazi yao
ya mwanzo yaliyopo huko Marekani. Hata hivyo ndoa hiyo haitakuwa kubwa
kwani wanataka kuifanya ya kawaida sana tofauti na wanavyotarajia watu
0 comments:
Post a Comment