Facebook

Monday 28 April 2014

Dougie Master amjibu Ney baada ya kusikia anamtafuta.........



Mambo ya Instagram ...Ile Sakata la Ney wa Mitego kudaiwa Kumteka Dada mmoja na kudai amtajie Dougiemasta ni nani linaendelea huko Insta....Dougie Masta nae Ajitokeza na Kuongea haya hapa chini:

"Mfyuuuuuuuuuu @neywamitegoo mbwa bahar ww eti unamtafuta @dougiemasta13 unataka kumjua ss ukinijua utanifanya nn kwa mfanoo ehh, kwanza ninani alikuwambia kuwa nakuogopa tena maanzaje ss kuanza kukuogopa eti kisa huo mwili wakowa tofari la kigaee ukirusha jiwe kinapasukaa fala ww kafe mbele kwan me ndo nilomtuma mwanamkr wako akavalishwe pete na kukugeuza ww mariooo si umalaya wake mwenyewe na dhiko zako ndio zilikuponz.mtoto wa kiume jitume sio kutegemea wanawake na kutegemea migongo ya wenzio ili kutoka kimaisha,mfyuuuu domo kama mlango wa ikuruu na meno yalio kuzid mdomon fala mkubwa ww tena ujipangee sana maana ww unanitafuta na mm nakutafuta so tunatafutana...eti nitawafundisha adabu jifunze ww kwanz hiyo adabu tena uishike na nyengine unining'ing'inize kama irizi,raisi wa manzese utakuwa ww mnuka midomo na tattoo zako za pa1 zinachanganywa na piko umekuwa bi harusi au dada neema ujipange tena sana kama umezoea kutishia watu hapa umetishia mnyama fala ww kwanz unaimbaga nn me skuelewi naskia Thi thi kibaoooo,endeleea kunitafuta na mm nakutafuta so tutafutane afu unifundishe hiyo adabu,marioo mkubwa nywle utasema umebeba siafu kichwani...afuu hii ni kwa wote unao nitafuta endeleeni lk mjue na mm nawatafutaaa so tutafutaneee...umeshindwa mfundisha mwanamkr wako adabu utaniweza mm nyoooooo,raisi hajui kuongea umeona wapi raisi huna mbele wala nyuma na umshukuru siwema kwa kukuweka soap soap maana ulijitia kuleta style yako ya kuvaa ndala ukaishia kuvaa mwenyewe,wanakuogopa manzese sio instagramm msukule ww baunsa wa makopo ya rangi ukamtishe wa vyuma hahahahahhahahah itafaamika na ishakula kwakoooooo...naendeleaa"


 By Dougiemasta13

0 comments:

Post a Comment