Juma nne (22 April) tuliripoti habari zilizomhusisha rapper Chidi Benz
kumjeruhi vibaya aliewahi kuwa mpenzi wake "Mwanaisha Kiboye" kwa kile
kilichodaiwa kumuita kwa nguvu wakati Chidi Kipita na mpenzi wake mpya.
Mwanaisha aliharibika vibaya maeneo ya usoni na kusababisha kushonwa
nyuzi 18 nauso pamoja na kichwa kuvimba na kumsababisha kuzimia kila
wakati.
Rafiki wa Mwanaisha amesikitishwa kuskia kuwa Chidi ametoka kwa dahamana
ya shilingi laki moja licha ya kuwa hali ya mgonjwa ni mbaya mpaka
kufikia kuthibitishwa na hakim pamoja na mkuu wa kituo
0 comments:
Post a Comment