Tuesday, 22 April 2014
Fuatilia kituko hiki...Bidhaa imetengenezwa kabla ya muda wake yakamatwa........... fuatilia hapa.....
Hii Ndio Tanzania Yetu hakuna umakini wa kila jambo, kwasababu tbs ndo wenye jukumu la kuweka hizo tarehe je nao wamekosea tarehe ya utengenezaji jiulize ni bidhaa ngapi sasa wamekosea tarehe ya mwisho ya kutumika bidhaa husika. nikiwambia hawa watu wauaji mnabishia.TBSCCM MTATUMALIZA
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kufahamu vioja mbalimbali katika jamii
Related Posts:
Will Facebook be Free or Under PAYMENTS?Kuna stori ambayo tuliripoti ambayo inavutia sana juu ya Mtandao Nguli wa Kijamii FACEBOOK kuwa Utaanza kulipiwa na wote wataotumia??? Kunaweza kuwa na ukweli ama si kweli lakini kama wanaTEKNOLOJIA hebu tujadili apa. … Read More
Mtaalamu ajitolea kumezwa na nyoka aina ya Anaconda kumfanyia utafiti. Watu nchini Marekani wameelezea ghadhabu na hasira zao kwenye mitandao ya kijamii kufuatia utafiti wa mtaalamu wa wanyamapori baada ya Paul Roslie kumezwa na Nyoka aina ya Anaconda ili kuchunguza maumbile ya ndani… Read More
Maisha ya tembo yapo hatarini kwa majangili Afrika Wazungumziaji wa tembo wanasema mahitaji ya pembe za tembo bado yako juu. Maisha ya tembo wa Afrika yako hatarini, huku ikidaiwa kuwa zaidi ya tembo 20,000 waliuawa mwaka 2013, imeeleza ripoti. Ofisi ya Mkutano … Read More
Jifunze na kutambua namna Website ya WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ilivyokuwa "HACKED" Habari ndugu zangu nimeona tuweke sawa website zinazokuwa hacked kama hizi, Tutambue tu Wizara ya Viwanda na Biashara ni Muhimu sana kwa Tanzania kama mnavyojua kuwa viwanda ndo mzizi wa CAPITALISM kokote duni… Read More
Huyu ndiye mtaalamu wa IT mwenye umri mdogo kuliko wote Duniani. Wazazi wengi Afrika wamekuwa hawajali kuvitambua vipaji vya watoto wao kipindi wanapokua kwenye hatua ya utoto na wanapoanza kukua, mfano mzuri ni kwamba ukiongea na watu ambao wana vipaji na uwezo mkubwa kwenye mche… Read More
0 comments:
Post a Comment