Imekuwa kawaida kila baada ya kipindi fulani hususan mwezi, Jarida la Marekani liitwalo Forbes hutoa orodha ya vilabu vinavyoongoza kwa utajiri duniani limeitaja klabu ya Real Madrid
kuwa na thamani ya €3.3 billion, huku klabu ya Manchester United
ikishika nafasi ya pili ikiwa na thamani ya €3.16 billion.
Katika orodha ya vilabu 10 bora duniani idadi kubwa vinatoka Ligi Kuu Ya Uingereza, huku vilabu vilivyoibuka siku za hivi karibuni kutoka Ufaransa Monaco na PSG havikutajwa kwenye orodha hiyo..................
VILABU KUMI TAJIRI DUNIANI
1) Real Madrid CF: €3.3 billion
2) Mnachester United FC : €3.16 billion
3) FC Barcelona: €2.6 billion
4) Arsenal: €1.32 billion
5) FC Bayern Munich: €1.3 billion
6) AC Milan: €940 million
7) Chelsea FC: €900 million
8) Juventus: €690 million
9) Manchester City: €680 million
10) Liverpool FC: €650 million
Related Posts:
Brenden Rodgers adai Gerrard ndiye kiungo bora kabisa Ulaya kwa sasa....fuatilia hapa.....
KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers anaamini kuwa nahodha wake, Steven Gerrard ndiye kiungo na kiongozi bora zaidi barani Ulaya.
Rodgers
amesema japokuwa Gerrard mwenye umri wa miaka 33 hajacheza mechi zote
za … Read More
Je!!! unamjua Mtanzania aliyefanya Video na Rick Ross....muangalie hapa katika picha.....
CYNTHIA MASASI (TANZANIA)
Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake
Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini
Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile,… Read More
Matokeo Ligi Kuu Uingereza..........fuatilia hapa...................Unaweza ukafuatilia matokeo ya ligi mbalimbali duniani....pamoja na misimamo na ratiba ya michezo mbalimbali hususan soka katika blog hii upande wa kulia angalia sehemu imeandikwa SOCCER LEAGUE UPDATES uweze upate kila kitu k… Read More
Kiingilio cha chini Simba Vs Yanga Tsh.7000/=...fuatilia hapa.....
Viingilio sahihi
za mechi ya watani kati ya Yanga dhidi ya Simba ni hivi vifuatavyo.
Sh 7,000 kwa viti
vya bluu na kijani, Sh 10,000 viti vya rangi ya chungwa, Sh 20,000 kwa VIP C na
B wakati VIP A itakuwa Sh 30,000.
… Read More
Moyes aomba heshima kwa mashabiki wa Everton kesho...soma hapa....
KOCHA wa zamani wa Everton na sasa Manchester United, David Moyes anaamini kuwa anastahili heshima kutoka kwa mashabiki wa klabu yake hiyo ya zamani katika mchezo wa ligi kuu hapo kesho uwanja wa Goodison P… Read More
0 comments:
Post a Comment