Wednesday, 23 April 2014
Shilole akiri kupewa mimba akiwa na miaka 14...ni hatari.......fuatilia hapa uujue ukweli wa mambo..............
Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali mbali in order to survive.
Shilole katika pitapita zake kwa bahati mbaya alijikuta akilazishwa mapenzi wakati akiwa na umri mdogo sana, msanii huyo akiwa na miaka 14 tu alijikuta akiwa na mimba . “nilipata mimba nikiwa mdogo sana yani hata maziwa ndio yanaanza sipendi kitu hiki kimtokee msichana mwengine kwa kweli na pia kwa wale wanaume wenye tamaa plz wanapoteza future za watu” alisema shilole.
Baada yakupata mtoto wake huyo, aliangaika nae na baadae alijikuta akiolewa na mtu mwingine na kuweza kupata mtoto wake wa pili akiwa na umri wa 18 na mwisho wa siku alitoka ndani ya ndoa na kuhamia Dar na kuanza maisha upya.
Related Posts:
Orodha ya Viongozi (C.E.O) 5 bora wa makampuni ya Teknolojia duniani. Some business leaders and companies are just admired by numbers of people. The reason is that they manage to lead the company to an undeniable success compared to their counterparts. Here are the Top 5 CEO of tech compa… Read More
Chidi Benz afunguka,hadi kamwaga chozi alipokuwa anahojiwa kuhusu Diamond Chidi Benz alitabiri mbele ya Diamond Platnumz (wakati bado underground) kuwa angekuja kuwa msanii mkubwa. Hata hivyo maneno muhimu ambayo rapper huyo alimwambia Diamond ni kuwa asije kunywa pombe wala kuvuta (unga/ ba… Read More
40 Rappers and extravagant jewelry The rapper’s life (at least these) has a high component of competition; is an urban culture with excess love of money and glitz. Clearly not all of its species follow the same patterns (thankfully), however, here … Read More
Shakira atuhumiwa Kuiba Wimbo. Wimbo uliovuma wa mwimbaji wa Pop Shakira ulinakiliwa kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutoka kwa kazi ya mt… Read More
Mtangazaji Joyce Kiria "Wanawake Live" afanyiwa unyama wa kutisha usiku wa kuamkia Leo.. Mtangazaji wa kipindi cha WANAWAKE LIVE,Bi Joyce Kiria usiku wa kuamkia leo amepatwa na majanga makubwa. Baada ya kuamka na kukuta gariblake alilikuwa akilitumia katika shughuli zake za kila siku likiwa li… Read More
0 comments:
Post a Comment