Thursday, 24 April 2014
Utajiri wa Irene Uwoya wazua utata mkubwa...............fuatilia hapa................
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri
aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea
...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa sio lazima liendane na Mali ninazopata.....
Related Posts:
Justin Beiber na Selena Gomez wahusishwa na wizi wa simu katika mgahawa. Polisi waliitwa katika eneo la mgahawa wa Dave & Buster's ambapo Justin Beiber na "on/off girlfriend" Selena Gomez walionekana na hivyo kuhusishwa na tukio la wizi wa simu. Watumiaji wa mtandao wa Twitter waliandika ku… Read More
50 Cent aongelea suala la Suge Knight kupigwa risasi. Katika siku ya jumapili usiku(24 August 2014) lilitokea tukio kurushiwa risasi mastaa mbalimbali katika maandalizi ya tuzo za VMA na inasemekana mmelengwa alikuwa ni Chriss Brown,huku Nyota mwinginw,Suge Knight alinusurika k… Read More
Picha hizi za P-Square zavunja rekodi mitandaoni. Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion kuelekea uzinduzi wa album hiyo. Kama wewe ni shabiki wa P Square enjoy kucheki hizi pic… Read More
Kilichojiri katika utoaji wa tuzo za VMA 2014. Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na nyota wengi walifika kwenye hilo tukio.Orodha ya nyota hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyonce wakiwa na mtoto wao Blue Ivy,Kelly Rowland,Chris Brown,Solange,Nicki Minaj,JLo,Us… Read More
Red Carpet ya tuzo za VMA weka mbali na watoto;Orodha ya washindi iko hapa. Red Carpet ya VMA 2014 imetawaliwa sana na picha nyingi za mke wa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’. Model huyu alivaa nguo yenye muonekano wa cheni huku ikiacha sehemu kubwa na mwili wake wazi. Hizi ni picha za mastaa waliop… Read More
0 comments:
Post a Comment