Wasanii kutoka nje hutumia tattoo kutuma message tofauti kuhusu maisha yao, ukikagua tattoo zote huwa zina maana flani kwenye maish yao. Mara nyingi huwa kita waschotaka kusahau au kilichowagusa sana na kubadilisha maisha yao. Hizi tattoo za star wa pop kutoka Canada Justin Drew Bieber.
Wednesday, 23 April 2014
Angalia katika picha Tattoo Kumi Na Mbili zilizo Kwenye Mwili Wa Justin Drew Bieber.................................
Wasanii kutoka nje hutumia tattoo kutuma message tofauti kuhusu maisha yao, ukikagua tattoo zote huwa zina maana flani kwenye maish yao. Mara nyingi huwa kita waschotaka kusahau au kilichowagusa sana na kubadilisha maisha yao. Hizi tattoo za star wa pop kutoka Canada Justin Drew Bieber.
Related Posts:
P Square wakutana na ndugu na Micheal Jackson kuongelea kufanya kazi pamoja. Ni miongoni mwa ndugu wa mfalme wa pop Micheal Jackson anayeongelewa zaidi kwenye vyombo vya habari, Jermaine Jackson ambaye kwa sasa imeripotiwa kuwa yupo Nigeria kwa mualiko aliopewa na wasanii wa kubwa Africa P Square… Read More
Cover La Wimbo Mpya Wa Young Killer, Kuna Harusi Inakuja Rapper Young Killer Msodoki Ametangaza ujio wa wimbo wake mpya ‘Umebadilika’ utakao toka July 22 2014.Mpaka sasa imefahamika kuwa kwenye wimbo huu kashirikishwa Banana Zorro na amefanya na producer wa Combination S… Read More
Aelezea kwa nini alikata uume wake Je unamkumbuka mwanamuziki wa kufoka Andre Johnson ambaye alikata Uume wake mwezi Aprili na kisha kujirusha kutoka juu ya jumba moja mjin… Read More
Beyonce kuwania tuzo 8 MTV. Beyoncé anawania tuzo nane katika tuzo za MTV, ikiwemo video bora ya mwaka, msanii bora wa kike na unenguaji bora. Wimbo wake Drunk in Love, alioimba pamoja na mumewe Jay-Z, unapambana na nyimbo kadhaa ukiwemo Ha… Read More
Muonekano mpya wa Chris Brown Baada ya kutoka jela, Chris alioanekana kubadilika umbo na kunenepa kiasi cha wengi kuhisi aliishi maisha mazuri akiwa jela. Mwimbaji huyo wa New Flame ameonekana kuendeleza mabadiliko kwa kutengeneza mtindo mpya wa ny… Read More
0 comments:
Post a Comment