Facebook

Wednesday, 23 April 2014

Drogba abuni nguo za ndani za kuogelea...................fuatilia hapa................


Kuhusu Nguo Za Ndani Na Za Kuogelea Alizobuni Didier Drogba
Mshambuliaji wa klabu ya Galatasaray Didier Drogba ametangaza ujio wa nguo zake za ndani. MrInfo amegundua kuwa Website ya Drogba imetoa taarifa hizi wiki iliyopita kuwa nguo hizi zitakuwa Nguo za ndani za wanaume na nguo za kuogelea za wanaume. Didier anafanya kazi hii kupitia kampuni yake ya “Drogba & Co”akishirikiana na  HOM.
Aliandika hii kwenye wibsite yake “In collaboration with the brand HOM, I have just launched an underwear and swimwear collection designed by Côte d’Ivoire couturier Elie Kuame: Drogba & Co. One euro of every product sold will go to the Didier Drogba Foundation, whose main aim is to provide healthcare and education in Côte d’Ivoire ”
Fahamu kuwa kila euro moja itakayoingizwa kwenye vazi moja itaenda kwenye mfuko wa taasisi ya Drogba yakusaidia na kuboresha afya na elimu huko Côte d’Ivoire.

 d 13

Drogba anasema kwa kubuni na kutengeneza hizi bidha mbili zitamsaidi kuendelea taasisi yake Na kwamba nguo zinatoka May 1 2014.
Regine Weimar, Managing Director wa HOM alisema haya kuhusu kufanya kazi na Drogba “We are thrilled to be able to partner with Didier Drogba, to create not only an exceptionally creative product, but also create a product that will have a positive social impact”

Ddd

Kwa Habari Na Exclusive Story Za Burudani ,Michezo, Maisha Na Siasa Muda Wowote Sammisago.com – Asante Kwa Kunifuatilia Facebook.com/Katemi Methsela | Twitter @katemipeter |Instagram @katemimethsela

Related Posts:

  • Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu. Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa fil… Read More
  • CHIDI BENZ AVAA MLEGEZO KIZIMBANI.   Rapper Chidi benz aliypandishwa kizimbani siku ya jumanne kwa shtaka la kukamatwa na madawa ya kulevya... Amepandishwa tena kizimbani leo ambapo alirudishwa nje na Jaji akavae vizuri suruali aliyokuwa ameiweka mleg… Read More
  • JAY Z ANUNUA "DUME LA JEMBE"   Msanii wa Marekani Shawn Carter, maarufu kama Jay Z, amenunua nembo ya Armand de Brignac ya kinywaji cha champagne. Kampuni ya mvinyo na vinywaji vikali ya New York, Sovereign Brands imesema imeuza nembo yake … Read More
  • Beyonce aongoza kwa kipato. Akiingiza zaidi ya dola milioni 115, Beyonce amekuwa mwanamke anayelipwa zaidi katika muziki mwaka huu. Alikuwa na "mwaka wenye mafanikio zaidi", akifanya maonesho 95 na kuingiza wastani wa dola milioni 2.4 katika ki… Read More
  • Sitti Mtemvu aandika barua rasmi kulivua taji la Miss Tanzania.Sitti Mtemvu ameandika barua kwenda kwa kamati ya miss Tanzania kwamba amevua taji la miss Tanzania kwasababu ya mambo mengi yaliyotokea baada ya kupewa taji.Na aliyekuwa mshindi wa pili wa wa shindano hili Happiness Kamazima… Read More

0 comments:

Post a Comment