David
Moyes atalipwa fidia ya £5million baada ya kufukuzwa kazi na Manchester
United – ikiwa ni kipengele cha makubaliano ya mkataba wake na klabu
hiyo.
Kocha huyo wa zamani wa Everton amekaa miezi 10 tu katika
mkataba wake wa miaka 6 na, hatua hiyo imekuja baada ya kuwa na
mfululizo mbaya wa matokeo.
Katika mkataba wa Moyes na United kulikuwa na kipengele
kinachoeleza ikiwa Manchester United ingefeli kufuzu kucheza Champions
League msimu huu basi ikatokea United wakaamua kusitisha mkataba wake
basi fidia isingezidi mshahara wake wa miezi 12 ambao ni £5million.
Related Posts:
Giggs"Tutacheza soka safi,kwa kutumia falsafa yangu na ya Man Utd"....soma hapa na angalia video alipokuwa anahojiwa....
MENEJA
wa Muda wa Manchester United, Ryan Giggs, Leo hii ameongea na
Wanahabari kwenye Kituo cha Mazoezi cha Klabu hiyo na kutamka kuwa Siku
aliyoteuliwa Meneja ilikuwa ni Siku ya Fahari kubwa katika Maish… Read More
Ryan Giggs "Nataka timu ya kufunga magoli tu staki Man U ifungwe".......
Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs amesema amejisikia furaha
kubwa kupata nafasi ya kuingoza timu hiyo kwa muda uliobaki huku
akiahidi mambo mazuri kwa mechi nne zilizosalia.
Akizungumza leo na MUTV, Giggs am… Read More
Wchezaji wa Barcelona wamuaga Titto Villanova...angalia hapa..................
Wachezaji
wa kikosi cha kwanza wa FC Barcelona wakitoa heshima zao za mwisho
kwenye jumuiko la kumuombea na kumkumbuka Tito Vilanova hii leo
Familia ya soka dunian… Read More
UEFA EURO 2016: RATIBA YATANGAZWA!
KAMATI
ya Uendeshaji ya EURO 2016, Kombe la Mataifa ya Nchi za Ulaya,
imekutana Mjini Paris, Ufaransa na kutangaza Ratiba ya Mechi za Fainali
zitakazochezwa Nchini… Read More
Giggs aanza kwa kishindo Man Utd, Rooney na Mata watupia..................
Ikiwa
ni mechi ya kwanza toka Ryan Giggs achaguliwe kuchukua kwa muda nafasi
ya David Moyes alietimuliwa, Manchester United imemiliki headlines kwa
sauti kubwa baada ya ushindi mkubwa ilioupata leo Apri… Read More
0 comments:
Post a Comment