Msanii nguli wa muziki wa dansi nchini Tanzania Muhidini Ngurum,amefariki dunia siku ya Jumapili,13 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kutokana na maradhi ya Presha aliyokuwa nayo.
Pole ziwafikie wapenzi wote na mashabiki wa Mhudini Gurumo!!
R.I.P Gurumo.
0 comments:
Post a Comment