Monday, 21 April 2014
Muziki wa bongo waanza kupiga hatua,video ya Izzo B yachezwa Channel O.........fuatilia hapa.........!!!!!!
Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa ambapo Channel O ni kituo mojawapo kati ya vituo vinavyoaminika kwa kusambaza upendo na kuonyesha wanachofanya Waafrika.
Imekua ni sherehe au furaha kubwa sana pale Mtanzania anapopata nafasi ya video yake kuchezwa Channel O ambapo baada ya Weusi na yao ya ‘nje ya box’ sasa ni staa kutoka 87.8 Mbeya ndio anaichukua headline.
Related Posts:
ETOO AKATIKA JUKWAANI...ANGALIA HAPA … Read More
SAFARI YA MWISHO YA GURUMO.....Angalia hapa katika Picha..........… Read More
A.Y:NITAOA BAADAE SANA NA KIMYA KIMYAMsanii na mmiliki wa kampuni ya Unity Entertainment, Ambwene Yesaya 'AY' ameweka wazi nia yake ya kufunga ndoa kimya kimya wakati utakapowadia. AY alimweleza mtangazaji Salama Jabir wa kipindi cha 'Mkasi' kinacho… Read More
MUHIDINI GURUMO AFARIKI DUNIA &nb… Read More
JUX AWEKA WAZI KUHUSU TETESI ZILIZOZAGAA KUFANYA VIDEO NA JACK CLIFF Jackei Cliff ambaye anaskendo za kukamatwa na madawa ya kulevya huko China,December 2013 zilitoka stori kwamba Mtanzania Jackie Cliff ambae ni mrembo aliewahi kutokea kwenye video kadhaa za wasanii wa bongofleva am… Read More
0 comments:
Post a Comment