Facebook

Tuesday, 22 April 2014

Producer C9 apata ajali na kuumia kichwani vibaya.........fuatilia hapa.................


 
Producer anayewania tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa bendi kwenye KTMA 2014 amepata ajali mbaya na kuumia kichwani huku bajaj aliyokuwa amepanda kuharibika sana.

C9 amewahi kutengeneza ngoma nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo nyingi za marehemu Sharo millionea na nyingine. Hivi sasa anaendelea vizuri hadi anajibu pole anazopewa na mashabiki zake kwenye mtandao wa instagram

 

Related Posts:

  • Kelly Rowland "Mama Kijacho" ?    Mwimbaji wa Marekani Kelly Rowland ameonekana kuthibitisha taarifa kuwa ni mja mzito. Huu utakuwa uja uzito wa kwanza kwa msanii huyu wa zamani wa kundi la Destiny's child. Kupitia ukurasa wake wa Instagr… Read More
  • Mapya yajiri,baada ya kifo cha Gorge Tayson ! KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafiri… Read More
  • Wiz Kid na Chris Brown waingia studio pamoja. Inaonekana kuwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria yupo jikoni akitengeneza wimbo pamoja na Chris Brown kutoka nchini Marekani. Kupitia Instagram WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na kuandika “Studio!! @chrisbr… Read More
  • Harrison Ford aumia aki"shoot" filamu.   Nyota wa filamu wa Marekani Harrison Ford ameumia wakati akiigiza filamu mpya ya Star Wars: Episode VII. Ford amepelekwa hospitali baada ya kuangukiwa na mlango katika studio za Buckinghamshire, Uingereza. Haifahami… Read More
  • Picha za Gari jipya la Ney wa Mitego.   Mastaa mbalimbali wa Tanzania wamekua wakionyesha magari yao ambayo mengi yamekua ya kifahari,kwa mwaka 2014 ni mwaka unaonyesha wasanii wengi kumiliki magari ya gharama zaidi,mpaka sasa ni zaidi ya wasanii watano … Read More

0 comments:

Post a Comment