Wednesday, 16 April 2014
Dau Kubwa Latangazwa Na Polisi Kwa Atakayeweza kutaja Waliohusika Katika Milipuko Ya Mabomu Arusha
Dau Kubwa la shilingi Milioni 10 limetangazwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa atakayewezesha kupatikana kwa wahalifu waliohusika katika milipuko ya mabomu Arusha wiki iliyopita.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai Tanzania Dci Isaya Mgula amesema uchunguzi wa awali uliofanywa na wataalam wa mabomu kutoka Jwtz na Jeshi la Polisi Tanzania umebaini bomu hilo limetengenezwa kienyeji.Bomu lililipuka kwenye Bar Ya Night Park na kusababisha madhara makubwa hasa majeraha kwa raia mbalimbali.
Bomu lingine lilikuwa limetegwa kwa kuegeshwa Pembeni ya kiti kwenye Bar Ya Washington iliyokuwa jirani
Related Posts:
Muigizaji mkongwe Mzee Jangala kutangaza nia ya kugombea Uraisi 2015Mkongwe wa filamu hapa nchini, Bakari Mbelemba maarafu kwa jina la Mzee Jangala ameweka wazi kua atatumia tamasha la ngoma za asili kutangaza nia yake ya kugombea uraisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Tamasha hilo amab… Read More
Makamu wa Rais Dkt. Bilal achukua fomu za kuwania urais 2015 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo … Read More
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika magazeti yote ya leo Jumamosi,Juni 06 MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata hab… Read More
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika magazeti yote ya leo Ijumaa,Juni 05 MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata habari nuhimu… Read More
WARAKA KWA WANAVYUO VIKUU TANZANIA KUHUSU KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KUSHIRIKI KUPIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU OCTOBA 25/2015Leo tarehe 5/6/2015, baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu tumeweza kuonana na m/kit wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji Damian Lubuva.Ambayo ilikuwa ni makubaliano tuliyoyafanya juzi tarehe 3/06/2015 kuhusu kuonana … Read More
0 comments:
Post a Comment