POLISI WA KIKE AIBA MTOTO MCHANGA
Jeshi
la polisi Mbeya limemkamata Askari polisi mwanamke wa Dar es salaam
kwa tuhuma za kumuiba mtoto mchanga wa siku ambae aliibwa toka April 6
2014 kwa kushirikiana na baba mzazi.
Ahmed
Msangi ambae ni kamanda wa polisi Mbeya amesema
"tulimkamata huyu Mama
na mtoto na hivi sasa Mwanamke huyu yuko mahabusu pamoja na baba mtu,
tulichofanya niliagiza OCD wa Kyela amlete mama halisi wa mtoto ili
aungane na mwanae na vilevile kukamilisha upelelezi, Mwanamke huyu
anaitwa Prisca askari Polisi Tabata mwenye namba WP5367'
"Sasa
hivi yuko chini ya ulinzi, huu ni uhalifu kwa sababu ni wizi wa mtoto…
nimeshaagiza mashtaka ya kijeshi na yanaendelea na tukishajiridhisha
hatua stahiki za kitendo alichofanya zichukuliwe, ukifanya uhalifu
adhabu yake ni kufukuzwa kazi ili tukupeleke Mahakamani ukashtakiwe,
amefanya kitendo kibaya kinyume na mwenendo mwema wa jeshi la Polisi,
kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe"
Kamanda
wa polisi amesema Baba wa mtoto na askari huyo hawana uhusiano wa damu
bali wa kibiashara hivyo wanaendelea na uchunguzi zaidi
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com ufahamu maovu mbalimbali yanayofanyika katika jamii
Related Posts:
Je wajua mionzi ya simu inaweza kusababisha kuzaa mtoto asiyekuwa na akili na mtukutu?????.......soma hapa......
MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo
wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti umeeleza.Utafiti huo
umetaja madhara mengine ya mionzi ya simu za mkononi kuwa ni uharibifu
wa manii, … Read More
Mabadiliko ya Uelekeo wa Barabara katikati ya Jiji la Dar Es Salaam Kuanzia 28/04/2014.....soma hapa...
MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD
MABADILIKO
YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU
YA TARE… Read More
Rais Mugabe akemea Ushoga Zimbabwe.....soma hapa...
Rais Robert Mugabe
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametishia kuwafukuza kutoka nchini humo wanadiplomasia wanaopigia debe mapenzi ya jinsia moja.
Katika hotuba yake ya sherehe za kuadhimisha
uhuru wa nchi hiyo, Mu… Read More
Je Wajua:Mtoto wa kahaba huko India apata zali la kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka katika klabu ya Manchester United....soma hapa...
Rajib Roy, mwenye miaka 16, kutoka Kolkata,
Bengal Magharibi atawasili Manchester wikiendi hii kufanya majaribio
Old Trafford baada ya kunga`muliwa na timu ya kusaka vipaji ya Man
United.
… Read More
Mr.Nice aweka wazi sababu zalizomfanya afulie .......soma hapa alichokisema.......
Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, leo hii afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake kimuziki,
katika moja ya interview Mr.Nice alidai kuwa hajui ni nini haswa
kilichoto… Read More
0 comments:
Post a Comment