Saturday, 26 April 2014
Ryan Giggs "Nataka timu ya kufunga magoli tu staki Man U ifungwe".......
Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs amesema amejisikia furaha kubwa kupata nafasi ya kuingoza timu hiyo kwa muda uliobaki huku akiahidi mambo mazuri kwa mechi nne zilizosalia.
Akizungumza leo na MUTV, Giggs amesema kuwa ana uhakika mashabiki wa timu ya Manchester United wataona magoli na watapata burudani nzuri.
“ I’ve got to say it’s the proudest moment of my life. I’ve supported Manchester United all my life, it’s been the biggest part of my life since I was 14 when I signed schoolboy forms. I’m proud, happy, a little bit nervous but just like I am as a player I can’t wait for the game on Saturday. Obviously I played under Sir Alex for so long so he was the first person to call because I wanted advice and to know what to expect. Who better to ring? Why wouldn’t I?! I’ve just said to them ‘I trust you and I know what you’re capable of and go out there and show it on Saturday and give the fans something to shout about. Entertain them, score goals, make tackles, play with speed, play with tempo.’alisema Giggs.
Related Posts:
Wachezaji 7 wa Costa Rica hawakutumia dawa za kuongeza nguvu kwenye mechi dhidi ya Italia Wachezaji 7 wa Costa Rica hawakutumia dawa za kuongeza nguvu mwilini Wachezaji saba wa Costa Rica waliolazimishwa na maafisa wa FIFA kupimwa mkojo pun… Read More
Cameroon kuchunguza tuhuma za upangaji wa Matokeo. Maafisa wa Cameroon wanafanyia uchunguzi madai kuwa wachezaji wao saba walihusika na upangaji matokeo katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil. Kamati ya maadili ya shirikisho la kandanda la Cameroon li… Read More
Giggs:Sikuwa tayari kuwa kocha Aliyekuwa kaimu kocha na Mchezaji wa Manchester United Ryan Giggs amekiri kuwa hakuwa tayari kwa majukumu ya kazi kama kocha wa klabu hiyo ya Uingereza. Giggs anasema kuwa uteuzi huo ulikuwa mapema kuliko alivyota… Read More
Wafahamu mastaa mbalimbali kutoka Afrika wanaotesa barani Ulaya na kwenye kombe la dunia Ben Arfa (Tunisia) - FrancePaul Pogba (Guinea) - France Karim Benzema (Algeria) - France Samir Nasri (Algeria) - France Govou (Benin) - FranceZinedine Zidane (Algeria) -France L… Read More
Timu ya taifa ya Rugby ya Kenya yajihakikishia kufuzu. Timu ya taifa ya Rugby ya Kenya imeichapa Madagascar 34-0 katika mchezo wa kufuzu kucheza Kombe la Dunia England 2015. Hata hivyo wanahitaji kushinda mchezo dhidi ya Zimbabwe siku ya Jumapili kujihakikis… Read More
0 comments:
Post a Comment