Sunday, 20 April 2014
Kumbe rapper aliyejikata uume alikuwa ametumia madawa ya kulevya ...........soma hapa..........
Rapper wa Marekani, Andre Johnson aliyejaribu kujiua kwa kujikata uume wake aliwashangaza wengi kwa kuwa kitendo hicho sio cha kawaida na wengi walitaka kufahamu sababu hasa iliyompelekea kufanya jaribio hilo.
Kwa mujibu wa E! News, chanzo cha kuaminika kimeeleza kuwa rapper huyo alitumia madawa hatari ya PCP ambayo yanajulikana kama Phencylidine au Angel Dust kabla ya kufanya tukio hilo na kujaribu kujirusha kutoka kwenye balcony baada ya polisi kufika na kumuomba ashuke aongee nao.
PCP yanatajwa kuwa moja kati ya madawa ya kulevya hatari zaidi na humfanya mtu kuwa na hasira na kufanya uharibifu na hupelekea watu kujifanyia mambo ya hatari zaidi.
Japokuwa rapper huyo alilkubali ombi la polisi hao, alijiachia ghafla hadi chini. Polisi walipoingia ndani ya nyumba walikuta kipande cha sehemu ya uume wa rapper huyo.
Kutokana na hali mbaya aliyokuwa nayo, alikimbizwa hospitalini ambapo alipewa huduma.
Hata hivyo, madaktari walishindwa kabisa kuunganisha uume wake.
Related Posts:
Ronaldo na mpenzi wake wala shavu Jarida la Vogue la Marekani mwezi uliopita liliwatoa kwenye cover wapenzi wanaotarajiwa kufunga ndoa hivi karibuni Kim Kardashian na Kanye West, na mauzo ya jarida hilo yakawavunja rekodi ya cover za nyuma za j… Read More
Picha:Safari ya mwisho ya marehemu Adam kuambiana ilivyokuwa leo viwanja vya leaders Dar es salaam Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua kila kitakachokuwa kinajiri kuhusiana na msiba huu mkubwa… Read More
Irene Uwoya Amlilia Adamu Kuambiana, Aweka Message Walizochat Kabla Hajafariki Irene Uwoya Ameguswa sana na Kifo cha Adamu Kuambiana na Kuonyesha machungu aliyonayo kupitia Instagram kwa Kupost jinsi anavyojisikia baada ya kifo chake pamoja na kuweka masage walizochat kabla hajafariki hii inaonyes… Read More
Pistorius kufanyiwa uchunguzi wa akili Pistorius akiwa mahakamani Jaji katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanza kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa mwezi mmoja ku… Read More
Diva Loveness Presha Presha..Atupia Picha Anakiss na Mvulana Mwingine...GK Presha Juu Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa an… Read More
0 comments:
Post a Comment