Facebook

Monday 16 March 2015

APAMBANA NA MAMBA ZAIDI YA NUSU SAA RUKWA


Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Udasi mwambao mwa Ziwa
Tanganyika, kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Ismail
Ndomboya (42) amenusurika kuuawa na mamba kwa kupambana
kijasiri na mnyama huyo kwa zaidi ya nusu saa.

Hata hivyo, licha ya
kuokoa maisha yake mnyama huyo katika mapambano hayo
alimng’ata na kumnyofoa mkono wake wa kulia na kutokomea nao
ziwani.

Neno moja tu la pole kwa ndugu Ismail

0 comments:

Post a Comment