Facebook

Saturday 21 March 2015

Baada ya Ney wa Mitego kuachana na Mpenzi wake Siwema,Siwema afunguka leo kumbe hata mtoto sio wa Ney wa Mitego.




Katikati ya wiki hii palikuwa na ugomvi mkubwa sana ukiwahusisha wasanii Wawili wakubwa nchini Siwema na Ney Wa Mitego.

Ikumbukwe wawili hao inaaminika walizaa mtoto mmoja
Tukirudi katika ugomvi wao ulisababisha Siwema kwenda jijini 
Mwanza ambapo Ney wa 
Mitego alimfuata na kisha kumchukua mtoto.

kwa muda wote huo Siwema alikaa kimya lakini leo hii kupitia ukirasa wake wa 
Instagram amefunguka kila kitu kama inavyojienyesha hapa chini.

0 comments:

Post a Comment