Facebook

Saturday 21 March 2015

Wanafunzi zaidi ya 750 wefukuzwa baada ya kukamatwa wakidanganya wazi kwenye mtihani wa mwisho.

Wakuu wa jimbo la Bihar, India, wamewakamata mamia ya watu na
wamewafukuza wanafunzi zaidi ya 750 baada ya video kutanda
mtandaoni, zinazoonesha wanafunzi wakidanganya wazi kwenye
mtihani wa kumaliza shule.

Baadhi ya wazee na askari polisi wamekamatwa, na mitihani ijayo
katika vituo vingine imeahirishwa.

Picha hizo zinaonesha wanaume wakiparamia kuta za vituo vya
mitihani na kuwakabidhi wanafunzi majibu, na wanafunzi wengine
wakikopi kutoka maelezo hayo.

0 comments:

Post a Comment