Cristiano
Ronaldo na Lionel Messi wanaendelea kuifukuzia rekodi ya kuwa wafungaji
bora wa muda katika ligi kubwa barani ulaya. Hatimaye Messi sasa
ameingia kwenye Top 10. Ronaldo aifukuzia top 5.
Chelsea Kutoka Samsung hadi Yokohama
Vinara wa Ligi kuu ya England,wameingia mkataba mnono na kampuni ya Yokohama
utakaoifanya klabu hiyo kuanza kuiweka 'logo' ya Yokohama kwenye jezi zao
mapema msimu ujao.
Mkataba huo mpya ni zaidi ya mara mbili wa
ul…Read More
AVEVA: Sina mpango wa kujiuzulu Simba.Dar es Salaam. Wakati kuna madai ya mpasuko wa uongozi, ukata mkubwa na madeni kwenye klabu ya Simba, rais wa klabu hiyo Evance Aveva amesema ajiuzulu, wanaotaka afanye hivyo wafuate taratibu. Akizungumza na gazeti hili jana,…Read More
0 comments:
Post a Comment