Mradi huo wa kampuni ya Peebles ni miongoni mwa miradi inayoungwa mkono na wengi.Saa hiyo mpya itavaliwa na wawekezaji mwishoni mwa mwezi mei kabla ya kuuzwa kwa uma baadaye mwaka huu.
Sunday, 1 March 2015
Kampuni ya Smartwatch kuzindua saa mpya
Mradi huo wa kampuni ya Peebles ni miongoni mwa miradi inayoungwa mkono na wengi.Saa hiyo mpya itavaliwa na wawekezaji mwishoni mwa mwezi mei kabla ya kuuzwa kwa uma baadaye mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment