Facebook

Saturday 14 March 2015

Ndege inayotumia mwanga wa jua yafanyiwa majaribio

Jaribio la kuruka angani kwa ndege inayotumia umeme wa jua
limeanza.

Ndege hiyo iliruka kutoka Abu Dhabi,kabla ya kutua Oman
na kuelekea nchini India.Ziara yake katika sayari inatarajiwa
kuchukua miezi mitano ikiwa na changamoto za kuvuka bahari za
Pasific na Atlantic.

0 comments:

Post a Comment