Facebook

Monday 16 March 2015

NA HAYA NI MANENO YA AUNT EZEKIEL KUHUSIANA NA BIFU LA WEMA NA KAJALA.


“Jamani maisha haya ni mafupi sana na tunatakiwa kujifunza kutoka
kwa wenzetu tuliokuwa nao lakini sasa hivi hawapo tena, natamani
sana Wema na Kajala wamalize tofauti zao kwani ipo siku watakuja
kujuta siku ambayo mmoja wao atakapokuwa hayupo japo siwaombei
ila hilo ndilo tamanio langu kuwaona wakizungumza,” alisema Aunt.

Wewe unasemaje?

0 comments:

Post a Comment