Taarifa ndani ya klabu yake
zinasema kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kusubiri matokeo ya uchunguzi
wa polisi. Taarifa za kukamatwa kwake zilitolewa mapema kupitia gazeti
la The Sun. Kukamatwa kwake kunakuja muda mfupi kabla hajasafiri na timu
yake ya Sunderland
kwenda kukutana na Hull kwa michezo ya Ligi kuu ya England iliyopangwa
kuchezwa leo usiku. Sunderland imesema haitaendelea kuzungumzia
kukamatwa kwa mchezaji wake.
Tuesday, 3 March 2015
Mchezaji wa Uingereza,Adam Johnson mbaroni kwa kufanya mapenzi na msichana mwenye umri mdogo.
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBA 22 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa ka… Read More
Muafrika aibuka Miss World 2014. Miss South Africa Rolene Strauss ameibuka mrembo wa dunia wa mashindano ya Miss World 2014, akiwashinda zaidi ya warembo 120 katika shindano lililofanyika jijini London, Uingereza. Mshindi huyo wa shindano la Miss… Read More
Kilichojiri katika AfrerSkulBash 2014. … Read More
SIR ELTON JOHN AOLEWA RASMISir Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake wa zamani aitwaye David Furnish ambaye ni mpenzi wake kwa zaidi ya miaka 20.Sir Elton John alishare picha ya mwaliko kwa watu wote katika mtandao iliyoandikwa "Sir Elton John and Da… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBA 23 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa k… Read More
0 comments:
Post a Comment