Facebook

Sunday 1 March 2015

HENRY: KUINOA ARSENAL NI KUTIMIZA NDOTO, LAKINI NINAMENGI NAPASWA KUJIFUNZA KABLA YA KUMRITHI WENGER.

"HENRY: KUINOA ARSENAL NI KUTIMIZA NDOTO, LAKINI NINAMENGI  NAPASWA  KUJIFUNZA KABLA YA KUMRITHI WENGER.

Thierry Henry miongoni mwa shujaa aliyewahi kutokea katika klabu ya Arsenal "The Gunners" ameripotiwa akisema kuwa kuifundisha klabu ya Arsenal katika siku za usoni ni kutimiza ndoto yake ila amesisitiza anapaswa kujifunza mambo mengi kabla ya kuichukua mikoba ya Mzee wenger.

Henry ni kinara wa mabao wa klabu ya Arsenal tokea kuanzishwa kwa klabu hiyo, amepachika mabao 228 mengi kuwahi kufungwa na mchezaji mwengine zaid yake.

Klabu ya Arsenal imekumbwa na uhaba wa kutwaa mataji makubwa kama vile ligi kuu Uingereza. michuano ya klabu bingwa ulaya, EUROPA league, Capital one ukiondoa FA ambalo wamelitwaa msimu uliopita-UNADHANI IKITOKEA HENRY AMERITHI MIKOBA YA MZEE WENGER NDIYO SULUHU YA UKAME WA MATAJI MAKUBWA ITAKUWA IMEPATIKANA ?

Maoni na mtazamo wako wewe mdau wa soka unahitajika."

Thierry Henry miongoni mwa shujaa aliyewahi kutokea katika klabu ya Arsenal "The Gunners" ameripotiwa akisema kuwa kuifundisha klabu ya Arsenal katika siku za usoni ni kutimiza ndoto yake ila amesisitiza anapaswa kujifunza mambo mengi kabla ya kuichukua mikoba ya Mzee wenger.
Henry ni kinara wa mabao wa klabu ya Arsenal tokea kuanzishwa kwa klabu hiyo, amepachika mabao 228 mengi kuwahi kufungwa na mchezaji mwengine zaid yake.

Klabu ya Arsenal imekumbwa na uhaba wa kutwaa mataji makubwa kama vile ligi kuu Uingereza. michuano ya klabu bingwa ulaya, EUROPA league, Capital one ukiondoa FA ambalo wamelitwaa msimu uliopita-

UNADHANI IKITOKEA HENRY AMERITHI MIKOBA YA MZEE WENGER NDIYO SULUHU YA UKAME WA MATAJI MAKUBWA ITAKUWA IMEPATIKANA ?

Maoni na mtazamo wako wewe mdau wa soka unahitajika.

0 comments:

Post a Comment