Mfalme Mswati (46), Ni Mfalme wa Swaziland ambaye kwa sasa
anajumla ya wake kumi na tano (15).Baba yake na Mswati alikuwa na
wake zaidi ya 125.
Leo ukikutana na Mfalme huyu utamwambia nini?
Friday, 20 March 2015
Mfalme Mswati azidi kuifukuzia rekodi ya baba yake.
Related Posts:
Makanisa kupunguzwa Burundi Bunge la Burundi limepitisha muswada unaolenga kupambana na "mfumuko wa makanisa" nchini humo. Utafiti wa serikali mwaka jana uligundua kuwepo na madhehebu 557. Sheria mpya zinataka makanisa kuwa na wafua… Read More
Wanasayansi wagundua mapya kuhusu Malaria Kulingana na uchunguzi wa vimelea vinavyosababisha Malaria huweza kuishi kwenye uboho (bone marrow) na kuepuka kinga za mwili na hivyo basi kusababisha maradhi. Uchunguzi huu umedhi… Read More
Viongozi wa Usalama Somalia wafukuzwa kazi. Maafisa wakuu wa usalama na wa polisi wamefukuzwa kazi kufuatia kundi la al-Shabab kushambulia ikulu ya Somalia, amesema waziri mmoja. Washambuliaji watatu waliuawa na wa nne kukamatwa, imesema ofisi ya rais. Al-Shaba… Read More
Kiongozi wa upinzani Ethiopia aonyeshwa kwenye TV Andargachew Tsege alikamatwa akiwa safariki kutoka Milki za kiarabu Kiongozi wa upinzani nchini Ethiopia, Andargachew Tsege, ameonekana kwenye televishen… Read More
AL Shabaab washambulia ikulu Somalia wapiganaji wa AL shabaab Vikosi vya serikali Somalia vimefanikiwa kuidhibiti upya ikulu ya rais katika mji mkuu Mogadishu baada ya hapo awali wapiganaji wa kiislamu kuishambulia. Maafisa wanasema washambuliaji wapa… Read More
0 comments:
Post a Comment