Facebook

Monday 16 March 2015

MAKUNDI NA MAKADA MBALIMBALI WAPIGANA VIKUMBO KWA LOWASSA


Makundi ya watu wa kada mbalimbali yamezidi kutua nyumbani kwa
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), yakimtaka achukue
fomu ya kuwania urais kupitia CCM muda utakapofika. Lowassa
ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani, kwa wiki kadhaa sasa
amekuwa akipokea wageni wa makundi mbalimbali nyumbani kwake
wakimtaka awanie nafasi hiyo ya uongozi wa juu wa nchi.

Nini maoni yako

0 comments:

Post a Comment