Facebook

Sunday 1 March 2015

Majeruhi yazidi kumuandama Jack Wilshare,afanyiwa upasuaji tena.

"MAJERUHI YAZIDI KUMUANDAMA WILSHERE, AFANYIWA UPASUAJI.

Kiungo wa klabu ya Arsenal "The Gunners" Jackei Wilshere (23) amefanyiwa upasuaji ikiwa ni tiba ya kutibu maumivu ya kifundo cha mguu wake wa kushoto .

Akizungumza na waandishi wa habari, Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha taarifa za mchezaji wake kufanyiwa upsauaji na kusema kuwa licha ya Upasuaji kufanyika lakini haoni kama mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kiref na badala yake atataraji kumwona baada ya siku kadhaa na sio miezi zaidi.

Wilshere alipata maumivu  hayo wakati Arsenal ikicheza dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza mwezi novemba ambapo mpambano huo ulimalizika kwa ushindi wa mabao 2-1 kwa Man Utd.

Wilshere ameungana na nahodha wake Mikel Arteta, Kiungo Mthieu Flamini, Aaron Ramsey na Mlinzi Mathiew Debuchy kwenye orodha ya wachezaji majeruhi Arsenal.

Arsenal inatazamiwa kuchuana vikali na Everton mchezo ambao Wilshere ataukosa leo."

Kiungo wa klabu ya Arsenal "The Gunners" Jackei Wilshere (23) amefanyiwa upasuaji ikiwa ni tiba ya kutibu maumivu ya kifundo cha mguu wake wa kushoto .
Akizungumza na waandishi wa habari, Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha taarifa za mchezaji wake kufanyiwa upsauaji na kusema kuwa licha ya Upasuaji kufanyika lakini haoni kama mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kiref na badala yake atataraji kumwona baada ya siku kadhaa na sio miezi zaidi.

Wilshere alipata maumivu hayo wakati Arsenal ikicheza dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza mwezi novemba ambapo mpambano huo ulimalizika kwa ushindi wa mabao 2-1 kwa Man Utd.

Wilshere ameungana na nahodha wake Mikel Arteta, Kiungo Mthieu Flamini, Aaron Ramsey na Mlinzi Mathiew Debuchy kwenye orodha ya wachezaji majeruhi Arsenal.
Arsenal inatazamiwa kuchuana vikali na Everton mchezo ambao Wilshere ataukosa leo.

0 comments:

Post a Comment