Facebook

Sunday 1 March 2015

Wakati Bale akirejea Mazoezini,watatu nje kwa majeruhi Real Madrid.

"WAKATI BALE AREJEA MAZOEZINI, WATATU NJE KWA MAJERUHI REAL MADRID.

Uhispania, Baada ya kukosekana mazoezini mwanzoni mwa wiki mshambualiji wa Real Madrid ambaye pia ndiyo mchezaji ghari duniani kwa sasa Gareth Bale amerejea mazoezini baada ya kuandamwa na maumivu ya kifundo cha mguu.

Bale alikuwemo kwenye kikosi kilichoichpa Elche mabao 2-0 wikiendi iliyopita na ndipo alipopatia maumivu hayo. Tovuti rasmi ya klabu ya Real Madrid imeripoti kuwa Bale anaendelea na mazoezi ili kuukabili mchezo dhid ya Villareal (Nafasi ya 6) siku ya jumapili ya kesho.

Wakati hali ya Mshambuali Bale ikitengamaa, wachezaji watatu Sergio Ramos, Sami Khedira na James Rodriguez watakuwa nje katika mchezo huo kwa sababu ya majeruhi. 

Real Madrid inaongoza ligi kuu ya Uhispania pointi 4 mbele ya wapinzani wao Barca ambao wanashika nafasi ya pili huku michezo 14 ikisalia ligi kumalizika."
Uhispania, Baada ya kukosekana mazoezini mwanzoni mwa wiki mshambualiji wa Real Madrid ambaye pia ndiyo mchezaji ghari duniani kwa sasa Gareth Bale amerejea mazoezini baada ya kuandamwa na maumivu ya kifundo cha mguu.

Bale alikuwemo kwenye kikosi kilichoichpa Elche mabao 2-0 wikiendi iliyopita na ndipo alipopatia maumivu hayo. Tovuti rasmi ya klabu ya Real Madrid imeripoti kuwa Bale anaendelea na mazoezi ili kuukabili mchezo dhid ya Villareal (Nafasi ya 6) siku ya leo jumapili

Wakati hali ya Mshambuali Bale ikitengamaa, wachezaji watatu Sergio Ramos, Sami Khedira na James Rodriguez watakuwa nje katika mchezo huo kwa sababu ya majeruhi.
Real Madrid inaongoza ligi kuu ya Uhispania pointi 4 mbele ya wapinzani wao Barca ambao wanashika nafasi ya pili huku michezo 14 ikisalia ligi kumalizika.

0 comments:

Post a Comment