Facebook

Friday 20 March 2015

Yahoo kufungua ofisi zao China

Kampuni ya mtandao YAHOO inatarajiwa kufunga afisi yake ya
mwisho katika eneo la China bara.
Kampuni hiyo kama kampuni nyengine za kiteknologia imekuwa
ikikabiliwa na ushindani mkubwa nchini Uchina kutoka kampuni
nyengine za mtandao.
Takriban ajira 300 zitapotea.

Yahoo ilisitisha utoaji wa huduma za kutuma ujumbe kwa kutumia njia
ya Email kwa wateja wake nchini Uchina mnamo mwaka 2013.
Katika taarifa yake,kampuni hiyo imesema kuwa inaunganisha baadhi
ya huduma zake ili kuimarisha ushirikiano.

0 comments:

Post a Comment