Facebook

Friday 18 September 2015

Ratiba ya kampeni siku ya leo kwa wanaogombea kiti cha Urais :Dr.Magufuli na Mh.Lowassa.

BantuZ:-UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2015

★Lowassa siku ya leo atakuwa akifanya kampeni mkoa wa Kagera maeneo mawili ambayo ni Karagwe na Kyerwa.Kesho Muleba na Bukoba mjini na Jumapili atakuwa Ngara mkoa wa Kagera.

★Asubuhi hii Dkt Magufuli amewasili jimbo la Buyungu, wilaya ya Kakonko na atafanya mkutano na wananchi katika uwanja wa Kakonko Mission.Jumapili atakuwa Jimbo la Chato-Geita.

-Bantuz Habari.

Tembelea www.bantuz.com kwa taarifa zote kuhusiana na Uchaguzi mkuu Nchini Tanzania.

0 comments:

Post a Comment