Facebook

Friday 18 September 2015

Ivanovic 'kutupiwa virago' Chelsea.

Kocha Jose Mourinho ameagiza watu wake wa 'scouting' kutafuta mtu ambae atachukua nafasi ya Ivanovic kutokana na jinsi kiwango chake kiivyoshuka kwenye mechi za karibuni Chelsea.

Kwa muda mrefu Ivanovic alikua ni mchezaji wa kutegemewa kwenye kikosi cha Chelsea lakini sasa hivi mambo yamekua tofauti kutokana na kiwango kibovu amachokionyesha hivi sasa.

Mkataba wa Ivanovic unaisha mwishoni mwa msimu huu na kuna uwezekano wa kuongezewa mkataa wa miezi 12, lakini wakati huo huo Chelsea wanaendelea kutafuta mbadala wake.

Cesar Azpilicueta alicheza upande wa kushoto  kuchukua nafasi ya Ivanovic wakati Chelsea ikishinda dhidi ya Maccabi.

0 comments:

Post a Comment