Facebook

Friday 18 September 2015

Lowassa aitikisa Bariadi.


Siku ya leo Mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Mh.Edward Ngoyai Lowassa alikuwa katika mji wa Bariadi na kujaza Umati mkubwa.

Mh.Lowassa amejimadi kuimarisha huduma za jamii kama elimu, afya, maji na makazi.

0 comments:

Post a Comment