Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa madai ya kutaka kuzua ghasia ambayo hayakuonekana na maafisa wa mechi hiyo lakini ambayo yalinaswa katika ukanda wa video.
Mshambuliaji huyo alihusishwa katika kisa na beki wa Arsenal Laurent Koscielny katika dakika ya 43 ya mechi.
Mchezaji huyo ana hadi saa kumi na mbili hapo alhamisi jioni kujibu mashtaka hayo.
Naye Beki wa Arsenal Gabriel ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu kwa tabia yake wakati alipopewa kadi nyekundu huku Santi Carzola akionywa kuhusu tabia yake mbaya.
Wakati huohuo vilabu vyote viwili vimeshtakiwa kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wake chini ya sheria za FA.
Vilabu vyote viwili pamoja na Gabriel vina hadi saa kumi na mbili jioni siku ya alamisi kujibu mashtaka hayo.
Tuesday, 22 September 2015
Costa na Gabriel washtakiwa na FA.
Related Posts:
Simba vs Yanga Sc kupigwa Jumamosi Uwanja wa taifa.Mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga Sc na Simba kuchezwa Jumamosi,Septemba 26, uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Nani kuibuka mshindi kati ya miamba hii ya soka,Acha maoni yako hapa chini.… Read More
Anthony Martial amzawadia mtoto wake tuzo ya mchezaji bora wa mechi Mke wa Anthony Martial wa Manchester United, Samatha, amepost picha hii kwenye Instagram, ya mtoto wao wa kike akiwa na tuzo ya mchezaji bora baada ya baba yake kupachika mabao mawili kwenye mchezo dhidi ya Southampton.… Read More
Hector Bellerin kusalia Arsenal licha ya kuwindwa na Barcelona,Mchezaji Hector Bellerin amebainisha kiu yake ya kuendelea kubaki Arsenal kwa muda mrefu. Beki huyo alijiunga na Gunners akitoka timu ya vijana ya Barcelona La Masia mwaka 2011, na amefuta dhana ya kumfuata mchezaji mwenzak… Read More
Ferguson afunguka kuhusiana na mambo yaliyokuwa nyuma ya pazia katika utawala wake Man United. 1.Fergie anakiri kuwa kabla hata Man City hawajamnyemelea Aguero,Atletico waliiambia Man United itoe £35m kumpata Aguero lakin Fergie aliona nyingi na baadae akaenda Man City kwa £38m coz walikuwa desperate. 2.Fergie anasem… Read More
John Terry kurejea kikosini katika kombe la Capital One.Kapteni wa Chelsea, John Terry alikosa michezo miwili ya mabingwa watetezi wa Premier League kwa kuwekwa benchi na kocha wake Jose Mourinho. Lakini habari njema kuwa anaweza kuanza kucheza Jumatano katika kombe la Capital O… Read More
0 comments:
Post a Comment