Facebook

Friday 18 September 2015

Dr.Magufuli aahidi kufungua milango ya kiuchumi na kudumisha Aman alipokuwa Kigoma.

Chama cha Mapinduzi kupitia mgombea wake John Magufuli katika Serikali ya awamu ya tano iwapo itapewa ridhaa yaa waTanzania imeahidi kuendelea kufungua milango ya kiuchumi kwa mikoa inayopakana na nchi jirani Kigoma ikiwemo huku wakazi wa mipakani wakitakiwa kulinda amani na mipaka ya nchi kwa kutoshiriki katika matukio ya kihalifu na kuweka mazingira mazuri ya kuvutia biasahara na nchi jirani na mkoa wa Kigoma

0 comments:

Post a Comment