Facebook

Friday 18 September 2015

Mitambo ya kuzalisha Umeme wa gesi yawashwa rasmi Tanzania.

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme nchini injinia Felchesmi Mramba amesema jana wamewasha rasmi mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment