Mke wa Anthony Martial wa Manchester United, Samatha, amepost picha hii
kwenye Instagram, ya mtoto wao wa kike akiwa na tuzo ya mchezaji bora
baada ya baba yake kupachika mabao mawili kwenye mchezo dhidi ya
Southampton.
JEZI YA RONALDO YAONGOZA KWA MAUZO DUNIANI.
Jumla ya jezi milioni 1 za mchezaji wa Real Madrid, Cristiano
Ronaldo ziliuzwa msimu wa mwaka 2013/14 na kuzidi jezi za timu nzima ya
Bayern Munich ambayo iliuza jezi 880,000.
Ronald…Read More
CHELSEA YAKOMAA NAFASI YA PILI
Chelsea ilisalia katika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza licha ya kuilaza Swansea bao moja kwa bila katika mechi ngumu iliyochezwa jumapili .
Mlinzi wa Swansea Chico Flores alion…Read More
ORODHA MPYA YA VILABU KUMI TAJIRI DUNIANI
Imekuwa kawaida kila baada ya kipindi fulani hususan mwezi, Jarida la Marekani liitwalo Forbes hutoa orodha ya vilabu vinavyoongoza kwa utajiri duniani limeitaja klabu ya Real Madrid
kuwa na thamani ya €3.3 b…Read More
0 comments:
Post a Comment