Kapteni wa Chelsea, John Terry alikosa michezo miwili ya mabingwa 
watetezi wa Premier League kwa kuwekwa benchi na kocha wake Jose 
Mourinho.
 Lakini habari njema kuwa anaweza kuanza kucheza Jumatano katika kombe la Capital One.
Unaonaje maamuzi ya Mourinho kumuweka benchi yana faida ama hasara kwa timu ya Chelsea? Acha maoni yakohapa chini.
Kapteni wa Chelsea, John Terry alikosa michezo miwili ya mabingwa 
watetezi wa Premier League kwa kuwekwa benchi na kocha wake Jose 
Mourinho.
0 comments:
Post a Comment