"Muda mwingine mambo hayaendi kama mlivyopanga, tumeharibu mechi mbili
za karibuni, sasa tunajipanga kutofanya makosa, msituhukumu bado msimu
ni mchanga na ni mapema mno kupoteza imani na timu"
Man United yaibuka na Ushindi mnono kombe la Ligi.Manchester United imepata ushindi wa mteremko wa mabao 3-0 pale ilipomenyana na Ipswich Town katika mchezo wa kombe la ligi.
Mabao ya Rooney,Andreas Pereira na Anton Martial yalitosha kuwapa ushindi huo Man U. Katika michezo …Read More
Bei za viingilio Simba vs Yanga. Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ni shilingi elfu saba (7,000).
K…Read More
0 comments:
Post a Comment