Mkurugenzi mkuu wa baada ya wasanifu nchini Marekani kusema baadhi ya magari yake yamekuwa yakichafua mazingira.
''Naomba msamaha mimi mwenyewe kwamba tumevunja heshima kwa wateja wetu na umma kwa jumla'',alisema Winterkorn.
Ameanzisha uchunguzi dhidi ya kifaa kilichowekwa katika magari hayo ili kupunguza hewa chafu wakati wa ukaguzi ikilinganishwa na wakati gari hizo zinapoendeshwa.
Hisa za kampuni hiyo zilishuka kwa asilimia 18 zilipoanza biashara.
Kampuni hiyo ya magari nchini Ujerumani ilishinikizwa kurudisha magari yake nusu milioni siku ya ijumaa.
Idara ya mazingira ilipata kifaa hicho katika magari ya Audi A3,VW jetta,Beetle,Golf na yale ya aina ya Passat.
Mbali na kuyarudisha magari hayo kwa ukarabati kampuni hiyo pia itakabiliwa na faini za mabilioni ya madola.
Huenda wakuu wa kampuni hiyo pia wakashtakiwa na mashtaka ya uhalifu.
Shirika hilo la mazingira linasema kila gari ambalo halikuzingatia sheria ya hewa safi itapigwa faini ya dola 37,500.
Huku magari 482,000 yakiwa yameuzwa tangu mwaka 2008 huenda faini hizo zikafika dola bilioni 18.
Tuesday, 22 September 2015
kampuni ya magari ya Volkswagen yaomba msamaha kwa Uchafuzi wa Mazingira.
Related Posts:
Aenda kutahiriwa,madaktari wakati "nanihii" yote Mtu mmoja mjini Alabama nchini Marekani amefungua kesi ya madai baada ya kudai kuwa alikwenda kutahiriwa lakini madaktari wakaondoa uume wake wote. Tovuti ya Metro imesema Johnny Lee Banks Jnr anadai kuwa alikwen… Read More
HOW TO UNLOCK MODEM HUAWEI MOBILE BROADBAND E153 Ili kuweza kufanikiwa ku unlock Huawei Modem E153-U1, E153-U2, E153-U3 Permanent Unlock,unatakiwa kuwa na software zifuatazo mwana complex Here are the Software Needed: 1. Download the QPST Software. 2. Download the Huaw… Read More
TATER BUCK CONSULTANCY Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
Kijana ang'olewa meno 232 India. KIJANA "ANG'OLEWA" MENO 232 Madaktari nchini India wametoa meno 232 kutoka katika mdomo wa kijana mwenye umri wa miaka 17, katika upasuaji uliochukua saa saba. Kijana huyo Ashik Gavai alifikishwa hospitali aki… Read More
Every iPhone Has A Security Backdoor iPhone and iPad users have long been able to laud the superior securi… Read More
0 comments:
Post a Comment