Mahakama ya Singapore imemuhukumu muuguzi mmoja kutoka nchini Ufilipino kifungo cha miezi minne kwa kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu taifa hilo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.
Ello Ed Mundsel Bello ambaye amekuwa akifanya kazi nchini Singapore aliandika kwamba raia wa taifa hilo hawako huru.
Alishtakiwa kwa kuwa muhaini na kuwadanganya maafisa wa polisi.
Akitoa hukumu hiyo jaji huyo alisema kuwa mahakama hiyo haikuweza kupuuza tishio la maoni hayo kwa jamii ilio tulivu.
Singapore ni taifa lenye raia wa mataifa na rangi mbali mbali na mamlaka hujali sana maoni ambayo yanaweza kuchochea wasiwasi wa kibaguzi.
Tuesday, 22 September 2015
Ahukumiwa kifungo kwa maoni ya Uchochezi Facebook.
Related Posts:
KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA" Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali. Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalip… Read More
Mawaziri wa Afya nchi za Afrika Magharibi wakutana kujadili Ebola Mawaziri wa afya kutoka nchi za Afrika Magharibi wamekubaliana kuondoa upigaji marufuku wa safari za ndege na ufungaji … Read More
Spika wa Bunge ahusishwa na kashfa ya kuwauza watoto Spika Hama Amadou alitoroka baada ya kuhusishwa na kashfa ya kuwauza watoto Spika wa bunge la Niger ametoroka nchini humo baada ya kamati ya bunge hilo kuafikia kukamatwa kwake kuhusiana na kashfa ya kuwauza watoto… Read More
Boko Haram wauteka mji muhimu Nigeria Kundi la Boko haram limefanya mashambulizi katika mji wa Bama na kusababisha mauaji ya watu wengi huku wengine wakitoroka. Wanamgambo hao waliuteka mji wa Bama ,ambao ni wa pili kwa ukubwa katika jimbo la Borno sik… Read More
Jeshi la Marekani lashambulia kundi la Al Shabaab Wizara ya ulinzi ya Marekani inasema kuwa jeshi la nchi hiyo limefanya mashambulizi dhidi ya kundi la wanamgambo wa kiislamu la ,Al Sha… Read More
0 comments:
Post a Comment