Facebook

Friday 18 September 2015

Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2015 kubandikwa katika vituo vya kupigia Kura.

Katika kila kituo cha kupigia kura yatabandikwa matokeo ya Diwani, Mbunge pamoja na Rais, amesema Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva.

Hivyo katika kila kituo wananchi wa eneo hilo watajua Rais, Mbunge na Diwani wamepata kura ngapi katika eneo lao halafu zinajumlishwa zote katika kata.

Jaji Lubuva amesema wameboresha zaidi mwaka huu kwa kufanya hivyo ili kila kitu kiwe wazi kwa wananchi

0 comments:

Post a Comment