Facebook

Saturday 19 September 2015

Wanachama 600 na viongozi 15 wa UKAWA Jimbo la Vunjo wahamia CCM.

Taarifa tuliyoipokea kutoka jimbo la Vunjo ambalo Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR MAGEUZI anagombea ubunge.

Lakini baada ya hapo jana Bantuz.com kuripoti taarifa kuhusiana na kutokea kwa mgawanyiko wa wana-UKAWA katika jimbo hilo,huku baadhi ya wanachama wa Vyama vinavyounda UKAWA kutokumuunga mkono James Mbatia.

Leo hii viongozi wa ngazi mbalimbali wa CHADEMA,TLP  na NCCRAGEUZI wapatao 15 ma wamachama wa kawaida 600 wamehama vyama vyao na rasmi wamejiunga CCM.

Endelea kutembelea www.bantuz.com

0 comments:

Post a Comment