Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani.
Kipindi cha Game of Thrones, kimenyakua matuzo mengi zaidi ikiwemo makala bora zaidi.
Viola Davis naye ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kupata ushindi wa muigizaji bora zaidi katika kipindi cha "How To Get Away With Murder".
Jon Hamm ambaye ameteuliwa mara saba kwa tuzo la muigizaji bora zaidi hatimaye amechukua tuzo hilo kwa uigizaji wake katika kpindi Mad Men.
Tuesday, 22 September 2015
" Game of Thrones" yajinyakulia tuzo kubwa Marekani.
Related Posts:
Waziri wa usalama Kenya "apigwa chini"Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi waziri wa usalama Joseph Ole Lenku na kumpendekeza waziri mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi hio. Wakati huohuo mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo am… Read More
Duka lawabagua wateja wazawa China.Duka moja la nguo mjini Beijing China limezua mjadala nchini humo baada ya kuweka maelezo yanayopiwapiga marufuku wateja wake raia wa Uchina. Duka hilo limehusishwa katika mgogoro wa ubaguzi wa rangi baada ya kuweka maelezo y… Read More
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 28. BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa kati… Read More
Bi harusi wa miaka 14 ampa sumu mumeweBi harusi wa miaka 14 nchini Nigeria ameshtakiwa kwa kuwaua watu wanne akiwemo mumewe wa miaka 35 baada ya kuweka sumu ya panya katika chakula alichoandaa kwa sherehe za haruysi yake. Kesi hiyo imewashangaza wahaharakati wa h… Read More
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 27. BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa… Read More
0 comments:
Post a Comment